PAUL Makonda Aandika Ujumbe Huu Wenye Fumbo Ndani yake


RC wa Dar Ameandika ujumbe wa mafumbo kupitia ukurasa wake wa Instagram, Haijaeleweka na Nani analegwa hapo..Embu jisomee na wewe labda unaweza tegua mtego

By @paulmakonda 
"Hakuna kitu kibaya kama kudanganywa na mtu huku ukijua anakudanganya na wakati huo huo anaekudanganya hajui kama unajua anakudanganya. Basi kazi yako inakuwa nikucheka kimoyomoyo" 
.
TOA MAONI YAKO HAPA


EmoticonEmoticon