Uncategories
HIVI NDIVYO MH RAIS MAGUFULI ALIVYOSHIRIKI MISA YA PASAKA JIJINI DAR ES SALAAM
HIVI NDIVYO MH RAIS MAGUFULI ALIVYOSHIRIKI MISA YA PASAKA JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisali ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na waumini wengi wengine
EmoticonEmoticon