ZITTO ATOA ONYO KWA WANAOTAKA KUMTEKA... ASEMA MTAKACHOKIKUTA NI.....!!! SOMA HAPA

JARIBU KUMTEKA ZITTO UONE.....
AFUNGUKA HAYA "Mwaka jana niliambiwa kuwa wabunge tunaowindwa tupo watatu, mwanzoni mwa mkutano huu wakawa saba. Wakati huu wa Bunge la Bajeti nikajulishwa kuwa tumefikia saba. Sasa naona idadi iliyotangazwa na Mheshimiwa Bashe inasema ni wabunge kumi na moja wanaotakiwa kutekwa,” . “Nadhani ni mambo ya kupeana hofu tu. Kwanza, sijafanya lolote la kusababisha nitekwe, kuteswa na kupotezwa. Hivyo habari hizi nazidharau kwa sababu sioni sababu kwanini nitekwe.” “Wanaweza kupanga kuniteka wakanifuata wakakuta mti wa mrumba au Bwawa la Karosho au Ziwa Tanganyika. Wathubutu tu wataona.” ZITTO
.
TOA MAONI YAKO HAPA


EmoticonEmoticon