NAPE NAUYE ATOA UJUMBE MZITO WA PASAKA.... SOMA HAPA

Wakati waumini wa dini ya kikristo duniani kote wakijiandaa kusherehekea sikukuu ya Pasaka, mbunge wa jimbo la Mtama Nape Moses Nnauye ametumia ukurasa wake wa twitter kuandika ujumbe kwa watu wake. 

Nape ambaye ni muumini wa dini ya kikristo ametumia ukurasa wake wa twitter kuandika ujumbe “Yesu aligeuza changamoto ya kifo kuwa fursa ya kwenda kuzimu kuchukua funguo za uzima na mauti!Acha kulalamika tumia changamoto kama fursa!”


EmoticonEmoticon