Yanasikika mashairi huko yakimdiss Roma mkatoliki kwa kuiponda serikali,
hakuna atakayekuachia ukiipotosha umma
Eti unajiita Roma, kardinali hakutambui, huna unachoongea unajiumauma
Unajiinamisha mkatoliki kumbe mfuasi wa Gwajima
Mziki wa Magufuli utauweza??
.
JE UNALIPI LA KUMCHANA INSPECTOR??? KAZINGUA AU SAWA TU???
PLAY HAPA KUSIKILIZA
EmoticonEmoticon