By @inspector_haroun_babu - Habari muda huu watanzania kuna wimbo nilitoa mwaka 2015 kipindi cha kampeni wimbo huu watu wanausambaza upya kwenye mitandao ya kijamii na kuhusisha na tukio la wasanii wenzangu Roma na wenzake wimbo huo hausiani na matatizo waliopata wasanii wenzangu watu wanausambaza kwa makusudi kuweka dhana tofauti hii kitu inanipa wakati mgumu sana kwa ambao hawakuusikia wa nadhani nimetoa kwaajili iyo niwaombe radhi sana wanaokwazika na huu wimbo niliutoa kwaajili ya kampeni tu kwa jinsi haliilivyo nivigumu kwa ambae hajawai kusikia kuamini nnacho kisema niseme tu Roma anafahamu kipindi niliutoa nichukue nafasi hii kuwapa pole wasanii wenzangu na mm naungana na wasanii wenzangu kupinga na kukemea vitendo vilivyotokea pole sana ndugu yangu @Roma2020 na wenzako nawataka radhi kwakusambaa upya wimbo huu na mashabiki wote hii social network ni matatizo sana hata sijui wameufukua wapi!!!? Anaeelewa atanielewa asiyeelewa simlazimishi kukubali yangu ni hayo amani irudi kwa familia ya Roma na wenzake ..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
EmoticonEmoticon