Baada ya Kuikubali Dume Suruali ,Raisi Maufuli ampigia Simu MwanaFA na Kumwabia Maneno Haya


Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, jana amempigia simu Msanii wa Muziki wa kufokafoka aka Hip Hop ndugu Hamis Mwinjuma aka MwanaFalsafa aka MwanaFA aka Binamu, na kusema yeye ni mpenzi wa kazi zake haswa Wimbo wake unaotamba anga za Miziki wa #DumeSuruali ambao alimshirikisha Vanessa Mdee. Moja ya ya Msitari anaoupenda ni "Utoe hela kwani ina TV ndani?"

"Nimefurahi kupokea simu ya Mheshimiwa Rais Magufuli kunisalimia na kuniambia yeye ni mpenzi wa kazi zangu,haswa #DumeSuruali" amesema MwanaFA kwenye Ukurasa wake wa Twitter


EmoticonEmoticon